Kipindi cha D'Wikeend Chatshow kinachorukakila siku ya ijumaa kuanzia saa 3:30 usiku katika Clouds TV huwa kina segment inayoitwa Blander ambayo huwa wanatumia muda huo kuonyesha makosa yaliyofanywa na ma director au wasanii wakati wa ku shuti video.
Wiki hii wameikosoa video ya Mr Blue aliyo mshirikishaAlikibanyimbo inaitwa Mboga Saba na kuyaibua makosa kadhaa ambayo pengine huwezi kuyaona ukiwa unaangalia kwa kawaida pasipo na kuwekaumakini,
Nimekusogezea hapa video ya segment hiyo uone jinsi walivyo kosoa video hiyo.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
TAZAMA ILIVYO KOSOLEA VIDEO YA MBOGA SABA YA MR. BLUE FT ALIKIBA NA KIPINDI CHA D'WIKEEND CHATSHOW CHA CLOUDS TV!
Description : Kipindi cha D'Wikeend Chatshow kinachorukakila siku ya ijumaa kuanzia saa 3:30 usiku katika Clouds TV huwa kina segment inayoitwa Blan...
Rating :
5