T.I.D hit maker wa ngoma ya Comfidence aliowashirikisha Dully Sykes na Joh Makini ameongea katika kipindi cha D'Wikend Chatshow kinacho rukaClouds TV kila ijumaa kuanzia saa 3:30 usiku kwamba Dullt Sykes hakuimba vizuri katika nyimbo yake ya Confidence ndio sababu ya Duly kuto tokea kwenye video ya nyimbo yake hiyo ya Confidence.
Alizungumza hayo alipoulizwa na Soudy Brown sababu za Dully Sykes kutotokea katika video hiyo na T.I.D alionekana kujibu kwa kejeli huku akimbeza Dully kwamba alikuwa ana payuka katika nyimbo hiyo.
Hakuacha kuitaja tarehe rasmi ya kuiachia video hiyo akiongeza kuwa siku hiyo ya Eid Mosi watafanya Party na host wa show hiyo atakuwa yeye mwenyewe.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
DULLY SYKES HAKUIMBA VIZURI KWENYE NYIMBO UANGU NDO MANA SIJAMUWEKA KWENYE VIDEO -: T.I.D
Description : T.I.D hit maker wa ngoma ya Comfidence aliowashirikisha Dully Sykes na Joh Makini ameongea katika kipindi cha D'Wikend Chatshow kinach...
Rating :
5