Ujerumani imeifunga Italy na kuitoa nje ya mashindano ya UEFFA EURO 2016 hatua ya robo fainali na hivyo ujerumani kupatanafasi ya kuungana na timu mbili ambazo zimekwisha tangulia katika hatua ya nusu faunali.
Ikiitoa timu ya taifa ya Italy kwa mikwaju ya penalty Germany haiku fanikiwa kuifunga Italy kwa dakika 90 nahivyo kutoka suluhu ya mabao 1-1 nakupelekea kuongezwa dakika 30 ambazo nazo zilimalizika bila ya timu kufumania goli la mwenzake.
Ujerumani imeungana naPortugal na Wales katika hatua hiyo ya nusu fainali na hivyo kumsubiri mshindi atakayeibukakeshi kati ya France na Iceland ikiwa Portugal watachuana na Wales katika Hatua hiyo ya Nusu fainali.
Ujerumani imefanikiwa kumtoa Italy kwa jumla ya Penalty 6-5 huku mabao ya uwanjani yakifungwa na
Mesut Ozil dakika ya 65' ya mchezo kwa upande wa Germany kabla ya Leonard Bonucci kusawazisha mnamo dakika ya 78' kwa upande wa Italy.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
GERMANY YATINGA NUSU FAINALI EURO! YAIONDOA ITALY KWAMIKWAJU YA PENALTY!
Description : Ujerumani imeifunga Italy na kuitoa nje ya mashindano ya UEFFA EURO 2016 hatua ya robo fainali na hivyo ujerumani kupatanafasi ya kuungana...
Rating :
5