Leo July 2 katika michuano ya kombe la mataifa ya ulaya (Euro) ni robo fainali ya 3 inayo wakutanisha magwiji wa mpira wa miguu katika bara hilo Germany vs Italy wote wakiwa katika ardhi ya ugenini nchini ufaransa (France) ambako inafanyika michuano hiyo.
Mechi hiyo ni ya kumtafuta mshindi mwingine wa tatu atakae kwenda kuungana na timu za mataifa ya Portugal na Wales ambazo zimekwisha vuka hatua hiyo ya Robo fainali.
Vikosi vya timu hizo mbili vipo kama ifuatavyo,
Germany. 3-4-2-1
1. Manuel Neuer (GK)
Mats Hummels (D)
B. Hoewedes(D)
Jerome Boateng (D)
Jonas Hector (M)
Sami Khedira (M)
Mesut Oezil (M)
Thomas Mueller (M)
Toni Kroos (M)
Joshua Kimmich (M)
Mario Gomez (F)
Italy 3-5-2
G. Buffon (GK)
Giorgio Chiellini (D)
Andrea Barzagli (D)
L. Bonucci (D)
M. De Sciglio (M)
A. Florenzo (M)
Stefano Sturaro (M)
Marco Parolo (M)
E. Giaccherini (M)
Graziano Pelle (F)
Eder (F)
Kuitazama mechi hiyo bonyeza
HAPA
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
ITAZAME MECHI YA ROBO FAINALI YA EURO KATI YA GERMANY NA ITALY HAPA!
Description : Leo July 2 katika michuano ya kombe la mataifa ya ulaya (Euro) ni robo fainali ya 3 inayo wakutanisha magwiji wa mpira wa miguu katika bar...
Rating :
5