Diamond Platnumz ametoa dili kwa waschana wote warembo na wenye kujiamini waluopo Dar es Salaam Tanzania kama watahitaji kutokea katika video yake mpya anayotarajia kushuti wiki ijayo.
Akitoa dili hilo katika ukurasa wake wa Twitter Diamond Platnumz ameandika kwamba kama wewe ni mrembo na mwenye asili ya kiafrika na kama unahitaji kutokea katika kichupa hicho ameruhusu kumtumia ujumbe wa private katika kurasa zake za kijamii.
Video hiyo ambato nyimbo yake amefanya na msanii kutoka katika lebo yake ya WCB Raymond (rayvanny) ambaye anafanya vizuri sana kwa sasa,
"Shooting my other HIT ft @rayvanny next week in Dar / Tanzania..If you are Cute & Queen and you would love to be part of it DM me" Ali tweet Diamond Platnumz.
Ungana nasi katika mitandaoyakijamii kama
INSTAGRAM
FACEBOOK na tutumie
EMAIL kwa taarifa aujambo lingine lolote.
Title :
KAMA WEWE NI MREMBO WA KIAFRIKA NA UNA NDOTO ZA KUTOKEA KWENYE VIDEO YA DIAMOND PLATNUMZ! HILI DILI LINAKUHUSU!
Description : Diamond Platnumz ametoa dili kwa waschana wote warembo na wenye kujiamini waluopo Dar es Salaam Tanzania kama watahitaji kutokea katika v...
Rating :
5