Producer Mona Gangster amesema kwamba muziki wa Bongo Flavour unashuka kwa sababu wasanii wamekuwa wana thamini sana ma director wanao wafanyia video kuliko wao wanao tengeneza Audio.
Akiongea kwa kujiamini na uhakika zaidi amesema kwamba kwa hapa Tanzania hakuna hata msanii mmoja ambaye amekwisha wahi mlipa producer kiasi kama millioni tano au kumi kwa kumtengenezea audio moja.
Wakati huo huo wasanii hao hao wanaenda kutoa zaidi ya milioni 20 kwa ma director kwa kutengenezewa video moja.Akizungumzia tatizo walilonalo ma producer pia kutokuwa na kauli moja katika kufanya biashara inasababishwa na maproducer hao kupishana level yani kwa maana kuwa na malegendary na ma underground ambao bado wanahitaji nafasi ya kutusua (kupata nafasi ya kusikika) katika game hivyo inakuwa vigumu kwao kuweka bei sawa na wale ambao wamesha sikika na kazi zao zimefanya vizuri. Mona ganster ni producer mkubwa na amesha tengeneza hits kadhaa za wasanii kama Belle 9 na wengine kibao.
Msikilize hapa akizungumza juu ya suala hilo.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
WASANII HAWATUTENDEI HAKI MA PRODUCER: MONA GANGSTER
Description : Producer Mona Gangster amesema kwamba muziki wa Bongo Flavour unashuka kwa sababu wasanii wamekuwa wana thamini sana ma director wanao wafan...
Rating :
5