Msanii wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amemtolea mapovu (Kuongea maneno makali) mpenzi wake wa zamani Shilole baada ya kudai kwamba ex wake huyo amekuwa akimzibia njia za mafanikio yake kimuziki toka wameachana.
Ni siku 5 tu toka msanii huyo hit maker wa singo ya Zima taa alipoachia video ya nyimbo yake mpya inayoitwa JIKE SHUPA video ambayo imezua utata mkubwa baada ya kuseme kana kwamba video queen katika video huyo anafanana na Shilole na kuwa anafanya vitendo ambavyo inasemekana Shilole alikuwa akimfanyia mpenzi wake huyo (Nuh Mziwanda)
Mashabiki walimuandama shilole kwa kumtag katika post za video hiyo ya Jikeshupa hadi kumpelekea mwanadada Sfhilole kutoa yake ya moyoni na kuandika Post hii hapa chini.
Nuh Mziwanda nae kaamua kuongea kuhusu shilole na kaongea maneno kwa ajili yake yamfikie, Huyu hapa Nuh.
Kwa taarifa zaidi tufuatilie katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama
INSTAGRAM FACEBOOK TWITTER na
EMAIL
Title :
NUH MZIWANDA ATOA YA MOYONI JUU YA EX WAKE SHILOLE
Description : Msanii wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amemtolea mapovu (Kuongea maneno makali) mpenzi wake wa zamani Shilole baada ya kudai kwamba ex wake hu...
Rating :
5