"Kabla ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mtanzania Idris Sulta ambaye ni mshindi wa Big Brother Africa 2015 Mwanadada Wema Sepetu alikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamitindo kutoka Afrika magharibi Luis Munana.
Ambaye alikuwa mshiriki wa Big Brother pia kwa mwaka huo na walikuwa na urafiki wa karibu na Idris Sultan ambaye ni mpenzi wa Wema Sepetu kwa sasa.
Ilitokea mitofautiano katika mahusiano ikafikia Luis Munana na WEma wakaachana ndipo Idris Sultan akapata nafasi ya kuwa na mrembo huyo Miss Tanzania 2006.
Iliwashangaza wengi sababu Idris na Luis walikuwa marafiki wakaribu na ikatokea Idris akawa na Ex girlfriend wa rafiki yake huyo.
Imezuka utata baada ya Luis munana kupost picha ya Wema Sepetu na kuandika maneno ambayo yametoa mshangao kwa wengi kwa kuhisi kwamba wanataka kurudiana au wamekwisha rudi katika mapenzi.
"Moyo unataka kile unacho hitaji huwezi kuuzuia moyo @wemasepetu" Ni maneno yaliyo andikwa na Luis Munana Ex boyfriend huyo wa Wema Sepetu siku moja iliyopita.
A photo posted by #IAm Z•U•R•I•E•Lšš (@luismunana) on
Mwanadada Wema sepetu nae pia akapost picha na maneno vilivyokuwa na muonekano huu hapa chini.
A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on
Ukweli wa mambo upo katika mioyo yao sisi yetu macho tu.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
PENZI LA IDRIS NA WEMA HATARINI! WEMA ARUDI KWA EX BOYFRIEND WAKE LUIS MUNANA
Description : " Kabla ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mtanzania Idris Sulta ambaye ni mshindi wa Big Brother Africa 2015 Mwanadada Wema Sepe...
Rating :
5