Ni meneja Babu Tale kutoka TIPTOP CONNECTION ndi aliye jitoa na kumsaidia msanii nguli wa muziki wa Hiphop Tanzania hit maker wa nyimbo kama Dar es Salaam stand up na nyingine kibaao, (Chidi Benz).
Msanii huyo alikumbwa na matatizo na kupoteza kabisa uelekeo baada ya kujiingiza katika utumiaji wa madawa ya kulevya na kuweza kuathirika kabisa hadi kupoteza muonekano wa kisanii na kuwa na muonekano ambao ulimtia simanzi kila mmoja ambaye alimjua Chidi Benzi kabla.
Ni Babu Tale ambaye aliamua kumpeleka Chidi Benz Sober houce ili kuhakikisha Chidi anaachana kabisa na madawa ya kulevya na jambo hilo likafanikiwa na sasa Chidi yupo katika maziezi makali ili kuhakikisha anarudi katika muonekano wake wa kawaida kama msanii. Huu hapa muone kano wa Chidi benz wa sasa
Kwa taarifa zaidi tufuatilie katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama
INSTAGRAM FACEBOOK TWITTER na
EMAIL
Title :
(+PICHA) HUYU HAPA CHIDI BENZ MPYA BAADA YA MABADILIKO YA KIMUONEKANO.
Description : Ni meneja Babu Tale kutoka TIPTOP CONNECTION ndi aliye jitoa na kumsaidia msanii nguli wa muziki wa Hiphop Tanzania hit maker wa nyimbo ka...
Rating :
5