Abdu kiba amefunguka kwamba katika lebo ya muziki inayofanya vizuri Afrika kwasasa ya WCB hajaona msanii mwenye uwezo wa kufanya nayeye kazi kwa sababu bado hajaona msanii kutoka WCB anaeimba type ya muziki wake.
Akizungumza kwenye kipaza sauti cha 255 segment ya kipindi cha XXL cha Clouds FM ameongea na kusisitiza kuwa siku zote ajuae hazami na bado hajafikiria kufanya kazi na msanii yeyote jutoka WCB.
"Sijafikiria bado kuimba na msanii kutoka WCB kwasababu sijaona bado msanii anayeimba type yamuziki wangu" Alisema Abdu kibas. Msikilize hapa chini.
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
WCB HAKUNA MSANII MWENYE UWEZO WA KUIMBA NA MIMI -: ABDU KIBA
Description : Abdu kiba amefunguka kwamba katika lebo ya muziki inayofanya vizuri Afrika kwasasa ya WCB hajaona msanii mwenye uwezo wa kufanya nayeye ka...
Rating :
5