Kumekuwa na uvumi wa sintofahamu kuwa Zlatan Ibrahimovic raia wa Sweeden atatimkia klabu gani baada ya mkataba wake na timu ya Paris Saint German kumalizika na staa huyo kuamua kuachana na klabu hiyo.
Leo June 30 staa huyo ameweka wazi juu ya utata huo baada ya kuandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa chaguo lake ni Manchester United.
Akiambatanisha na picha ya logo ya club ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic aliandika
"Time to let the world know my next destination is @manchesterunited"
A photo posted by IAmZlatan (@iamzlatanibrahimovic) on
UNGANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KAMA
INSTAGRAM
FACEBOOK na TUTUMIE EMAIL KWA HABARI AU JAMBO LOLOTE
Title :
ZLATAN IBRAHIMOVIC AMETHIBITISHA KUWA MANCHESTER UNITED NDIO CHAGUO LAKE KWA MSIMU UJAO
Description : Kumekuwa na uvumi wa sintofahamu kuwa Zlatan Ibrahimovic raia wa Sweeden atatimkia klabu gani baada ya mkataba wake na timu ya Paris Saint...
Rating :
5